LYRICS

Mbosso – Merijaah LYRICS

Mbosso – Merijaah LYRICS

Merijaah is a gentle and poetic love ballad that beautifully tells the story of how simple, everyday neighborly interactions evolve into a genuine, heartfelt romance. With Mbosso’s smooth vocals and emotionally rich storytelling, the song captures a journey from borrowing salt and sugar to sharing deep love.

RELATED: Mbosso – Khan EP ALBUM

Set against a soft and melodic Bongo Flava backdrop, Mbosso paints a vivid picture of love growing slowly and sincerely. The lyrics use warm metaphors—like “kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa” (if love were a bucket of water, it would overflow)—to express the depth and fullness of his affection for Merijaah.

The track is tender yet catchy, filled with warmth, familiarity, and the kind of storytelling that turns everyday life into timeless romance. “Merijaah” is a testament to love that grows naturally from connection and companionship.

DOWNLOAD Mbosso – Merijaah AUDIO

Mbosso – Merijaah LYRICS

Jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
Mlango wake, mlango wangu vinatazamana
Sukari kwake, chumvi kwangu tukaazimana
Akawa BF wangu, udugu wangu tukashibana

Mwisho tukapendana…

Ooh Meri Merijaah
Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Ooh Meri Meri, ooh Meri Merijaah

Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Ooh Meri Meri, ooh Meri Merijaah

Mwambani mwambania, eeeeh
Mwambani msuli na kanga
Wazania, wazania eeeeeeh
Waambie ndo tunayaanza

Ooooooh

Ooh Meri Merijaah
Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Ooh Meri Meri, ooh Meri Merijaah

Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Ooh Meri Meri, ooh Meri Merijaah

Also, check out more from Mbosso;

Leave a Comment