LYRICS

D Voice Ft Mbosso – Tunapendana LYRICS

D Voice Ft Mbosso – Tunapendana LYRICS

Tunapendana is a heartfelt celebration of love and deep connection. This soul-stirring song beautifully encapsulates the emotions of longing, joy, and unwavering devotion in a relationship where both partners treasure and support one another through life’s challenges and triumphs.

RELATED: D Voice Ft Mabantu – Umekopwa (Prod. Gach B)

D Voice Ft Mbosso – Tunapendana LYRICS

Mmh
Nawaza mbali sanaa
My feelings *2

Ety babe kweli
Usiponiona pumzi inabana na naaah?!
Ety babe kweli
Unaumiss utamu banana nanaah
Ety babe kwelii?!
Sa ka ndiyo hivyo kwann twa gombana nanaaah
Au ndo ukweli tamu na chungu
Ndo raha ya kupendana nanaa

Hawajuii (oohh)
Babe raha unazonipaa
Wapii unanishikaaa
Na ndyo maana mwengine siitakii
Hawajuiii na navyopenda sifaa
Basi hapa bichwaa
Maana najua unanipendaa na huniachi

Nachotaka niwaambiee
Unanipendaa darling
Hautaki kuwa na mi mbalii ,
Bila mimi hauwezi

Basi niambie niwaambie wajue
Ka unanipenda darling
Usiku bila mi haulali
Mie ndio wako mpenzi
Basi niambie niwaambie wajue

Tunapendaana, Tunapendaana
Tunapendaana, Tunapendaana
Tunapendaana, Tunapendaana
Tunapendaana, Tunapendaana

Mimi enhh
Ni mimi hapaa
Ni mbosso kahn tenaa
Penzi ni hadithi za siku nunu,
iwe kwenye furaha nyakati ngumu
Penzi ni maradhi nishikwe pumu,
Nimekupenda wee ashkih majununu
Usinifiche hadharani, babe nichumu
Mengine tuyafanye tukiwa room,
haki ya Mungu wallah ukinidhurumu (bombo class)

Na nyonga ndumu ……..
Oohu wewee sitaki nikukwaze ,
usinikwaze tukawapa maneno watutangaze
Wengine wanangoja si kugombanaa
Oohu wewee Penzi kwenye kibaba nijaze jaze
Mambo yakini kaba uniliwaze,
leo tule mrenda kesho nyamaa
Basi niambie niwaambie ka
Unanipendaa darling ,
usiku bila mi haulali
Bila mimi hauwezi ,
basi niambie niwaambie wajue

Ka unanipenda darling(ewe darling),
usiku bila mi haulali (honey wanguu)
mie ndo wako mpenzi (ewe my my my wangu)
basi niambie niwaambie (my love🥹)

Tunapendaana
Tumependaana
Tumeshibanaa
Tunajuaanaa
Niwaambie wajuee
Tunapendaana

eeenhh❤️ Nakupenda bebiii

Also, check more tracks from D Voice;

Leave a Comment