ENTERTAINMENT

Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey Watoa ‘Kinamba Namba’

Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey Watoa 'Kinamba Namba'

Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki na DJ Jozzey Watoa “Kinamba Namba”
Ushirikiano wa Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey kwenye wimbo “Kinamba Namba” umeleta msisimko mkubwa kwa mashabiki wa muziki. Ngoma hii ya nyota wengi imekusanya vipaji vya kipekee kutoka kwenye tasnia ya muziki nchini, na kuunda wimbo wenye nguvu na vibe ya kipekee yenye dance moja ya kinyamwezi sana.

Jisajili uweze kujiburudisha na djmix mbali mbali kupitia: https://mdundo.ws/CiMuzik

Billnass, anafahamika kwa mistari yake yenye uchokozi, Gnako kwa sauti yake ya kipekee ya uchoraji picha, Whozu kwa uchekeshaji wake wa kibabe, S2Kizzy kwa umahiri wa utayarishaji, Apuki kwa sauti ya kipekee, na DJ Jozzey kwa ufundi wa kucheza na beats, wote wanachangia kuifanya “Kinamba Namba” kuwa nyimbo ya kipekee na isiyokosa kwenye playlist yako. Sikiliza collabo hii ya kipekee kupitia Mdundo.com na ujiburudishe na mitindo na midundo mbalimbali inayovuma!

Leave a Comment