Harmonize, whose real name is Rajab Abdul Kahali, is a renowned Tanzanian musician and songwriter celebrated for his contributions to Bongo Flava and Afrobeat music. “Sherehe” is a lively song that embodies the spirit of celebration and enjoyment. In this track, Harmonize showcases his swagger and wealth, emphasizing the importance of living life to the fullest.
RELATED: Harmonize Ft Rich Mavoko – Show Me
You can listen to “Sherehe” on YouTube, where it has gained immense popularity. Harmonize continues to make waves in the music industry with his unique style and catchy tunes, solidifying his place as one of the top artists in the genre.
Harmonize – Sherehe LYRICS
Konde Boy, Call Me Number One
Bakhresaa
Oouuwooh Uuuwo Uuuuh Uuuuh
Aaaah Aaah
Ukiwa Mvivu Ni Rahisi Sana Kuwa Na Wivu
Tuliojituma Tukaarchive
Usitushangae Tukila Mbivu
Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa (Mmmh)
Ona Yanavyokutesa Sie Kwetu Sherehe
Oya Leo Sherehe
We Don’t Really Mind Hata Tukikesha Liwake Hata
Ikinyesha Leo Siku Ya Sherehe Oya Leo Sherehe
Wanangu Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Huku Ni Sherehe Eeeh
Leo Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Huku Ni Sherehe Eeeh
(Mmmh)
Kuhonga Kubaya Ukiwa Huna
Ila Tuliojipata Kwetu Sunnah
Wee Jigambe Unamkunaa Aah
Huku Walio Na Meno Wanatafuna
(Bomboclaaat)
Mwenye Kisu Kikali Kala Nyama Leo
Kidali Kaachwa Na Jimamaa Leo
Kwetu Kuna Sherehe Oya Leo Sherehe Ooh
Mpaka Kesho Tumeanza Leo Wasiotoka Wametoka Leo
Wameifata Sherehe Oya Kwetu Kuna Sherehe Eeh
Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa (Mmmh)
Ona Yanavyokutesa Sie Kwetu Sherehe Oya Leo Sherehe
We Don’t Really Mind Hata Tukikesha Liwake Hata
Ikinyesha Leo Siku Ya Sherehe Oya Leo Sherehe
Wanangu Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Huku Ni Sherehe Eeeh
Leo Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Kuna Sherehe
Hukuu, Huku Ni Sherehe Eeeh
Also, check more tracks from Harmonize;