LYRICS

Harmonize Ft Marioo – Disconnect Lyrics

Harmonize Ft Marioo - Disconnect Lyrics

Read and sing aloud the lyrics of “Disconnect” by Harmonize featuring Marioo. The song has been enthusiastically embraced by fans in Tanzania and beyond.

RELATED: Mbosso – Kunguru LYRICS

Harmonize Ft Marioo – Disconnect Lyrics

zombie sikutaji humu eeeh!

yao yao

mh! bad

zombie star

abaah star

jaivah star( aweee)

mi mwenyewe mega super star

so utasema Nini?

khukhu khunanako ooo!

we catching vibe not feeling wenzako

khukhu khunanako

haters shut up, sura baya Toka hapa

oho disconnect

disconnect

oho disconnect

disconnect

oho disconnect

yao yao

(bomb bomb club)

happy new year, yes new life

mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu

wanaonichukia baridi barafu

nguo zao safi moyo niwa chafu

yes new life

mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu

wanaonichukia baridi barafu

nguo zao safi moyo niwa chafu

na kama una bad energy stay far away

uncomment utumbo na hujala ee

na kama una bad energy stay far away

Toka na pigo zako za kifara ee

(kwendaa)

shika shikonko kwenda sukuma

Baki huko huko kwenda sukuma (eeeh!)

I’m m**** f* super star

Hadi baby yako inanishangaa

oya dear hater shut up sura baya Toka

oho disconnect

disconnect

oho disconnect

disconnect

oho disconnect

Leave a Comment