ENTERTAINMENT

Ujio wa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Ulivyowasisimua Wana Pangani

Ujio wa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz

Katika Mkesha wa Mwenge wa Uhuru huko Pangani, kulikuwa na burudani za kipekee kutoka kwa wasanii mbalimbali maarufu wa Bongo Flava wakiwemo Billnass, Zuchu, Baba Levo, Mbosso, na Diamond Platnumz ambao walitumbuiza na kuchangamsha roho za mashabiki.

RELATED: Ngoma Mpya ya Simba La Masimba Dangote (Diamond Platnumz)

Ilipofika zamu ya msanii nguli, Diamond Platnumz, alitumia nafasi hiyo kuwapa mashabiki maonjo ya nyimbo zake mpya za Amapiano ambazo amewashirikisha wasanii kutoka Afrika Kusini. Ingawa majina ya wasanii hao bado hayajatangazwa, mashabiki wanahisi msisimko mkubwa wakisubiri kuzifahamu.

Citimuzik.com inakuletea kionjo cha kipekee cha wimbo huo uliotumbuizwa na Diamond Platnumz. Karibu ufurahie.

Sikiliza hapa chini kionjo cha wimbo huo

Ujio wa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz

Leave a Comment