SONGS

Nyimbo mpya za Harmonize 2024 DOWNLOAD

Nyimbo mpya za Harmonize 2022 MP3 DOWNLOAD

Harmonize, kwa jina lake halisi Rajab Abdul Kahali, mara kadhaa hujiita “Konde Boy”; amezaliwa Chitoholi, mkoa wa Mtwara, 15 Aprili 1994 ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania.

RELATED: Harmonize – Nisamehe

Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza “Aiyola” (2015), Bado (2016), Matatizo (2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya WCB (Wasafi Classic Baby) ambaye ni Diamond Platnumz.

Harmonize anasimamiwa na Joel Joseph au kwa jina lingine Mr Puaz. Kwa sasa msanii huyu yuko peke yake baada ya kujitoa WCB pia amekuwa akitoa ngoma kama vile uno ambayo imepata umaarufu mkubwa na kuwa gumzo yani number one on trending.

Pia kwa sasa ameachia kazi yake ya pili iitayo kushoto Julia ambayo amesikika akimtaja Diamond ambapo ni kwa mara ya pili.

  1. Harmonize – Mwaka Wangu
  2. Harmonize – Usia (Prod. B Boy Beats)
  3. Harmonize – Muziki
  4. Harmonize – Serious Love (Prod. Blaq)
  5. Harmonize – What Do You Miss Ft Anjella
  6. Harmonize – Kamaliza Ft Sholo Mwamba
  7. Harmonize – Outside (Prod. B Boy Beats)
  8. Harmonize – Mood Ft Naira Marley
  9. Harmonize – Single
  10. Harmonize – Turn Up

RELATED: Harmonize – Paranawe Ft Rayvanny

Nyimbo mpya za Harmonize 2024 DOWNLOAD
Click here to DOWNLOAD ALL HARMONIZE SONGS
Bofya hapa KUPAKUA NYIMBO ZOTE ZA HARMONIZE

Also, check more tracks from Harmonize;

Nyimbo mpya za Harmonize 2022 MP3 DOWNLOAD

Leave a Comment