ENTERTAINMENT

Juma Lokole adai Alikiba sio Mmiliki wa Crown FM

Juma Lokole adai Alikiba sio Mmiliki wa Crown FM

Juma Lokole, mchambuzi maarufu kutoka mojawapo ya vyombo vikuu vya habari nchini Tanzania, amezua gumzo tena baada ya kutoa maoni kuhusu uzinduzi wa radio mpya ya Alikiba, Crown FM.

Lokole alifafanua kwamba Alikiba si mmiliki pekee wa Crown FM, bali kuna wamiliki wengine pia. Alisema kuwa yeye mwenyewe aliwahi kufanya kazi katika Crown FM kabla ya kituo hicho kufungwa, kisha akajiunga na Wasafi FM na Wasafi TV.

Alipoulizwa kama anaweza kufanya kazi katika vyombo vingine vya habari, Lokole alisisitiza kuwa Wasafi Media ni kama familia yake, akibainisha kwamba hawezi kuondoka Wasafi.

Juma Lokole adai Alikiba sio Mmiliki wa Crown FM

Leave a Comment