Get ready to sing along with ‘Mi Nawe‘ lyrics by Mocco Genius featuring Marioo, a song that has captivated fans not only in Tanzania but also around the world.
RELATED: Jaivah Ft Marioo – Buruda LYRICS
Mocco Genius Ft Marioo – Mi Nawe LYRICS
Mmmh!
Aah mon bebeeeh!
Aah mon bebeeeh!
Nimetosheka nimeridhika na weeeh!
Aah mon bebeeeh!
I’m already eh!
I’m already
Umeniteka umenishika I swear
Aah mon bebe
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CHORUS:
Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!
VERSE 2:
Macho yako baby
mwengine yasimshuhudie
Deka ni kuone
Na roho yangu itulie
Because You
You so special
Special tuijenge Kesho
Kesho yenye vicheko
cheko furaha madeko.
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CHORUS:
Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!