LYRICS

D Voice – Mtamu LYRICS

D Voice – Mtamu LYRICS

“Mtamu,” track number two from the fresh and dynamic album “Swahili Kid,” is a captivating single by the talented Tanzanian Singeli artist D Voice, also recognized in the music world as D Voice Giinni.

This song is a significant part of his artistic repertoire, released under the prestigious WCB Wasafi label. As both a singer and a songwriter, D Voice brings his unique flair and energy to the thriving Singeli music scene with this track, further establishing his role as a key player in the genre’s evolution and popularity.

D Voice – Mtamu LYRICS

Aaah…
Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga
Ila tatizo naona aibu
Style zote mbaka na kuvunja chaga,
Naziweza ila mbaka niwe na vibe.

Chorus
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakua mtamu
ooya
Ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakua mtamu
Mwenzako hivi hivi na kuwa sinogi
Nipe japo kidogo ni changamshe body
Mwenzako hivi hivi na kuwa sinogi
Nipe japo kidogo ni changamshe body
hayaa…

Ndo maana unaona kama mimi nakuzingua
Tatizo sijapata dawa dawa
Ngoja nipate hata moja bia
Nitakupa vitu yaaani mbaka utapagawa
Au kama unabisha nipe kidogo nionje
Mi stimu yangu shisha janga na pombe
Mwili ukipata stata kwenye bed usiombe
Haunipati kwa mkongo hata ukinywa vidonge

Chorus
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakua mtamu
oyaa
Ngoja ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakua mtamu
Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
Nipe japo kidogo nichangamshe body
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
Nipe japo kidogo nichangamshe body
weweee

Haya dada tikisa kalio kalio kalia koo
Wasiokuwa na mwenye ngongingo warushe roho
We dada tikisa kalio kalio kalio kalia koo
Wasiokuwa na mwenye wowo warushe roho
Haya sasa nitikisie maboga nitikisie mamboga mboga
Nitikisie maboga nitikisie mamboga mboga

Hamisi chacha kaona paja kadata
Sasa chobo za nini wakati nimekuacha
Hamisi chacha kaona paja kadata
Sasa chobo za nini wakati nimekuacha
Sitaki michobo na wewe mimi mwenzako
Sitaki michobo na wewe mi aku..
Sitaki michobo na wewe
weee

Ngubi weee
Ka mix laizer
Wasafi

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment