Pata burudani ya kipekee kwenye Bongo Classics Mix ft. Darassa, Mac Voice, na Mabantu. Hawa wakiwa ni baadi ya wasanii wanoendelea kutikisa anga za mziki kwa kishindo. Ubabe wao waendelea kudhihirishwa ndani ya mix hii.
RELATED: Pakua Nakupenda Slow Love Mix Inayomshirikisha Jay Melody
Sikiliza hapa
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog