Ghetto Ambassador amekuwa mtetezi wa kubadilisha mtazamo wa watu kuhusu hip hop, akionyesha kuwa muziki huo unaweza kuwa njia ya kuelimisha na kutoa sauti kwa jamii.
RELATED: Wasanii Chipukizi wa Hip Hop Kutoka Tanzania Walio Ndani Ya Mdundo.com
Hivyo, amekuwa kielelezo kwa wanamuziki wa kizazi kipya na waasisi wa mabadiliko kupitia sanaa.
Furahia mix yetu ya leo ‘Hip Hop Hits Mix’ ikimshirikisha mkali huyu Ghetto Ambassador pamoja na wasanii wengine hapa:
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog