SONGS

Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene (Prod. Kimambo)

DOWNLOAD MP3 Nandy Ft Sauti Sol - Kiza Kinene

A top Tanzanian female artist, singer, and songwriter, Nandy came through with a brand new banger titled Party, produced by Kimambo.

RELATED: Ommy Dimpoz x Nandy – Kata

Nandy msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki ametoa wimbo mpya akiwashirikisha kundi mahiri la musiki kutoka nchini Kenya Sauti Sol.

Wimbo unaitwa “KIZA KINENE” unazungumzia wapenzi wawili walio achana kwa sababu ya maneno ya watu.

It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand hit song titled Kiza Kinene mp3 Download By Nandy Ft Sauti Sol. Enjoy!

Music Produced by Kimambo Beats

QUOTABLE LYRICS

Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua… (Masala)
Nimezidisha chenji, kimeota nyasi… (Mbaghala)
Nilipita dirisha nafasi kuigombania… (Nikabanwa)
Kumbe basi limejaa, na mlango upo

Haioni mboni yangu (Kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia (Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu (Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea (Kiza kinene)
Ah… aah

RELATED: Nandy Ft Joeboy – Number One (Prod. Kimambo)

Listen to “Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene” below;

AUDIO Nandy Ft Sauti Sol – Kiza Kinene MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Also, check more tracks from Nandy;

Leave a Comment