LYRICS

Ibraah – Hapa LYRICS

Ibraah – Hapa LYRICS

HAPA” is a beautiful and emotionally charged love song dedicated to the person you cherish deeply, where Ibraah is filled with enthusiasm as he shares his newest musical masterpiece with his dedicated fans.

RELATED: Diamond Platnumz – Happy Birthday (Prod. S2kizzy)

Ibraah – Hapa LYRICS

Kama Haujaanza Mimi Nishaanza Kwenda
Kama Haunipendi Mimi Nishakupenda
(Aaah, Ooh Yeah)

Ah
Baby Baby
Sogea Karibu Nikunong’oneze Sweet
You Look So Fine Ungekuwa Nguo Ningevaa Nipendeze Cute
Baby Iiiih Wewe Ndo Change Kidege Umenikamata Sifurukuti

(Mmmh)
Baby Weeweee Eeh
Changu Chako Chako Changu Umenibana Pete Tamu Yangu
Kwani Hujui Wewe Ndo Msiri Wangu Unanitembeza Kwenye Tope Kwa Mguu
Aibu Baby
Hata Wakisema Waambie Wewe Ndio Kiboko Ya Mimi
I Swear Unanikosha Bibie Mwenzako Nimekula Yamini
Me Napenda Ukisema

Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Haaapaaa

Eh
Kiburi Hakijengi Baby, Na Wala Mapenzi Hayaendeshwi Kwa Hasira
Nitaenda Wapi Baby Kwako Mirembe Unanipa Tiba Tahira
Sijui Nikupendeje Maana Moyo Unaona Ushakupenda
Na Ushamaliza Wananiita Bwege Marafiki Waadai Nakupenda Kupitiliza
Baby Eti Nakudekeza Sana Nakuendekeza Saana Baby
Hata Ndugu Na Jamaa Wanasema Umenipa Chaundani
Changu Chako Chako Changu Umenibana Pete Tamu Yangu
Kwani Hujui Wewe Ndo Msiri Wangu Unanitembeza Kwenye Tope Kwa Mguu

Aibu Baby
Hata Wakisema Waambie Wewe Ndio Kiboko Ya Mimi
I Swear Unanikosha Bibie Mwenzako Nimekula Yamini
Me Napenda Ukisema
Eeh

Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa

Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Me Napenda Ukisema

Eeh
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa

Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa

Haaapaaa
Hapa Hapa, Hapa Na Hapa

Chiinga Konde Music Worldwide

Also, check out more from Ibraah;

Leave a Comment