Feel free to read and sing along with the lyrics of “Milele” by Abigail Chams. This song has received a warm welcome in Tanzania and across East Africa.
RELATED: Diamond Platnumz Ft Wouter Kellerman – Pounds & Dollars LYRICS
Abigail Chams – Milele LYRICS
Milele Milele Milele Milele
On the first day tulipokutana tana
Moyo ukadunda macho yalipogongana
Hapo hapo tukapeana namba
Tukapeana namba namba
Ukweli ulinivutia ila
Sijajua zako tabia
Na moyo ndo umeridhia
Ila nina imani una upendo
Ishi nami baki nami
Daima forever wewenami
Mitihani changamoto tuzishinde
Milele
Ishi nami baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde
Milele
Penzi letu liwe la milele
Nakupenda milele
Penzi letu liwe la milele
Nakupenda milele
Kwa penzi lako naenjoy
Unavyonipa naenjoy
And when you touch my body ooh
Naomba usiache
Napendwa sana nnavyojisikia moyoni
Nami nampenda my baby ooh
Ishi nami baki nami
Daima forever wewenami
Mitihani changamoto tuzishinde
Milele
Ishi nami baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde
Milele
Penzi letu liwe la milele
Nakupenda milele
Penzi letu liwe la milele
Nakupenda milele