NEW AUDIO

Pakua Bongo Flava Mpya Ft. Darassa, Jay Melody na Bruce Africa

Pakua Bongo Flava Mpya Ft. Darassa, Jay Melody na Bruce Africa

Habari tunakukaribisha kuskiliza ngoma kali kutoka kwa Darassa, Jay Melody na Bruce Africa wasanii ambao wanafanya poa kwenye Bongo Flava Industry. enjoy na pakua ngoma hizi kupitia kurasa yetu ya Citimuzik.com.

RELATED: Download Exclusive Mix Ft Dogo Richie

Wikendi yako ilikuwa vipi? Tumekuandalia playlist kali ya Bongo ambayo unaweza kuenjoy unapoendelea na shughuli zako za siku…

Pakua #BongoFlava Mix ft. @darassa_cmg na ngoma yake Nobody, @Realjaymelody na @BruceAfrica hapa 👇🏽

mdundo.com/song/2469875

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog

Leave a Comment