LYRICS

Willy Paul – Kesho LYRICS

Willy Paul - Kesho LYRICS
Willy Paul – Kesho LYRICS

DOWNLOAD MP3

Nakumbuka nikikuita unasonya wanipandisha wanishusha
Nilikuwa sina dooh mtaani nala dodo
Nilikuwa sina jambo iweje leo nina jambo
Mwanakulifind mwanakuliget Oooh ndio waniita mpenzi
Mwanakulifind mwanakuligeti Ooh leo waniita your baby
I’m sorry nilipotaka uwe mke ulisema sina dooh,
So so sorry hata kaibaskeli kangu ulisema nisake dooh
Do you know? Ni kidonda aina gani uloniweka moyoni
Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo,
Upendo unadhaminiwa pale ukiwa nazo

CHORUS
Nilikuomba usubiri hata kesho,
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

VERSE 2

Ulichoka na maisha ya tomato, tomato,
Tomato, tomato chumvi ugali
Ulitaka maisha Dubai nami sikatai bora ungenisubiri
Baby ona leo ninamiliki manyumba pale Lavii
Its so sad siwezi share na niliyempenda kwa moyo wa dhati
My Valentino ungenitunzia moyo wako
Kuliko kunivunja moyo ulivyonivunja mama
Hata kosa ilipotokea nimeshindwa kukasirika
Hata moyo uliponivunja nilishindwa kukasirika

CHORUS

Nilikuomba usubiri hata kesho,
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

VERSE 3
Ulitoroka sababu sikuwa na lolote kwa magoti
Niliomba usiniache my lover kesho yetu itakuwa sawa
Ulipigiwa simu nilipogonjeka karibu nife
Mama ukasema hunijui mi na we tulikuwa mistake
Baby don’t blame me, don’t blame me nimepata mwingine
Baby don’t blame me, don’t blame me nimepata mwingine

CHORUS

Nilikuomba usubiri hata kesho,
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)
Nilikuomba usubiri hata kesho (huenda kesho sawa)

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment