LYRICS

Kusah – Utaniua LYRICS

Kusah - Utaniua LYRICS

DOWNLOAD MP3

Kusah – Utaniua LYRICS

Nikikuona nanyamaza hata kama nilikua nalia
Macho unayapumbaza raha zinazidi zinalia
Upepo utoke magharibi yaani uvume pwani ama bara
Hizi raha zanizidi mimi huba lako latawala

Nataka nitangaze kwa redio na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lapeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio

Ukizidisha utaniua walahi utaniua, Ukizidisha utaniua walahi utaniua

Habibty leo pombe na muziki maisha yetu sio ya kiki wasitingishe kibiriti
Penzi letu ni mchongo (Mmmmh)
Usiwaoe hata uso wale kule wape mugongo (Mmmmh mmmmh)

Nataka nitangaze kwa redio na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lapeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Nataka nitangaze kwa redio na nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lapeleka mbio na baby wewe kichwa me sikio
Ukizidisha utaniua walahi utaniua, Ukizidisha utaniua walahi utaniua

Also, check more tracks from Kusah;

Leave a Comment