LYRICS

Alikiba – Tile LYRICS

Alikiba - Tile LYRICS
Alikiba – Tile LYRICS

VERSE 1
Nilisimama kwa mbali tile nikaona hutanikumbuka
Vile nilivyobadilika aaah nitakuabishaaaaa
Nilivyokuwa mwanzo nawe ukanitafuta pesa nyingi
Nilishika aaah leo nadhalilika
Ni miaka mingi hata ukinitathmini hali yangu si thamani inaonesha
Sinalo tena walinitenda si vyema leo hata pakushika aaah sina

BRIDGE
Hata Musa aliomba sana akamvusha bahari Tile
Hata mimi niliomba sana Mola nikutane na weee tena tile

CHORUS
Tilee ee heee ee ohh Tile Oooooh niokoe natapatapa
Ooooh Tile yooo Tile mahela Tile Oooh

DOWNLOAD MP3

VERSE 2
Usiniogope Tile, Tile mi ni mpole sana
Hata kipindi tuna raha unalala nikikuimbia
Eti Simba sifa simba analiwa Simba anafugwa Tile
Simba anazaa bado anazaliwa Simba
Nimekumiss sana toka tumeachana
Mpaka nimepungua Tile kwa kufikiria
Sasa Tema mate (tema mate) ya nyuma yapite
Tukate utepe na tuanze upya tena

BRIDGE
Ila hata Musa aliomba sana akamvusha bahari Tile
Hata mimi niliomba sana Mola nikutane na weee tena tile

CHORUS
Tilee ee heee ee ohh Tile Oooooh niokoe natapatapa
Ooooh Tile yooo Tile mahela Tile Oooh

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment