LYRICS

Hamadai Ft. Alikiba – Niamini LYRICS

Hamadai Ft. Alikiba – Niamini LYRICS

DOWNLOAD MP3

DOWNLOAD MP4

Hamadai Ft. Alikiba – Niamini LYRICS

Eyyoooo
Oh beby mwezi hauishi takuvisha pete
Niaamiiini
Vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe
Niaamiiini
Takutunza takupamba umeremete
Niaamiini
Me kwako sina ujanja ah mpechempeche
Niaamiini

CHORUS
Beb niamini ,
Beb niamini,
Nakuomba niamini,
Bebi niamini ,
Niaminii ,oooh .., niamin
Niaaminii
Sasa hivi nkienda hata dem ctongozi
Niaaminii
Hata kulewa silewi namuogopa mwokozi
Niaaminii
Sitamani kuona ukilia takufuta machozi
Niaaminii
Takukanda kanda takunyoosha masozyy
Niaminiii

CHORUS
Beb niamini
Beb niamini, nakuomba niamini
Beb niamini
Niamini, ooh, niamin
Niaaminnii
Tajenga sanamu lako pale posta wakipita wakuone
Niaminiii
Kwenye shoo nitataja jina lako tu wenye wivu iwachome
Niaaminii
Mmmmhh, nakupeenda beeib
Niaamiini
Kama uamini nikupost beeib
Niaamini

CHORUS
Beb niamini
Beb niamini , nakuomba niamini
Beb niamini
Niamini,, ooh niamini
Niaamiinii
Natamani nkupe mimba, kichefuchefu nibaki nacho mwenyew
Niamiiini
Ama niende Tandahimba, nkuchinjia mbuzi unielewe
Niaamini
Ukitaka nyimbo takuimbia kikongo, sonni wela
Niaaminii
Sitatumia fimboo, ukinkosea takuchapa na helaa
Niaminii

CHORUS
Beb niamini
Beb niamini,,nakuomba niamini
Beb niamiini
Niamini,, ooh.. niamini
Niaamiiiinnii
Ukipata case ya kufungwa nipo radhi wanipeleke mimi jeller
Niamiini
Uta enjoy life bebee japokuwa hali yangu kabwela
Niaaminii
Talk to me
Basi niamini
Ooh beiby
Niamini,. niamin oooh ,niamiiniiiii
Niaaminii
……………..
Eyyoooo
Yeap
………….
Ye baba
Eeeeh
Ooooh
Hamadai
….. ,,,,,,,,,
NIAAMIINI

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment