LYRICS

Diamond Platnumz – Mtasubiri LYRICS Ft Zuchu

Diamond Platnumz – Mtasubiri LYRICS Ft Zuchu
Diamond Platnumz – Mtasubiri LYRICS Ft Zuchu

DOWNLOAD MP3

Eeh! Nini sasa
Eti ,Amina dua zimeitikiwa Hashtuti nije kupa mali yako
Oooh fanya hima ,
mwenzako nimezidiwa mahututi nasubiri tiba yako.
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situliii mpka unikumbate darling
Oooh! Kiranga chote ni koma,
Ukianza dear ,shughuli kwisha yangu habari.

Eti unanipenda mi (mnhh)
Unanitaka pia ( mnhhh)
Unaniamini mnhh
na umeniridhia
Ooh Eti unaninda mi (mnhh)
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini (mnhh )
Na umeniridhia

Wanaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubir sana mtasubiri
(wanaosubir tuachane )
Mnasubir sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubir sana mtasubiri

Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufungwa oooh baby vya chaku chaku vitanifunja
Ooh baby mie wapwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoa buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga , wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado!
Na presha zitawashuka na kupanda ,tena deka we shaukwa baby tamba .

Eti unanipenda mi (mnhh
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini( mnhh)
na kuniridhia (mnhh)
Eti unanipenda mi (mnhh
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini mnhh
na umeniridhia (mnhh)
Mnaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubiri
(Mtakesha )
Mtasubir sana mtasubiri
(Mtandike jamvi mkae )
Mtasubir sana mtasubiri
(Mtatungoja sana)
mtasubir sana mtasubiri

Wanasema eti umeniroga
“nikweli ila inawahusu nini “
Hunipendi unanichuma
“nikweli ila inawahusu nini”
Eti wanasema ww ni kicheche
“Nikweli ila inawahusu nini”
Utanichezea kesho uniache
“Nikweli ila inawahusu nni”

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment