LYRICS

Harmonize – Mwaka Wangu LYRICS

Harmonize – Mwaka Wangu LYRICS

DOWNLOAD MP3

Harmonize – Mwaka Wangu LYRICS

Yaw yow! Jeshi
Lala lilala mmmh lalala
Chii! Eh
Ni mwaka mpya mambo mapya
Sina dhambi nimetubu
Na pesa nitazichanga changa
Nizijaze kwa kibubu
Japo hata ka kibanda nikajenge huko Pugu
Maana nyumba za kupanga
Nishazihoka vurugu

Eti kwani wao waweze wana nini?
Mmmh na mimi nishindwe nina nini?
Nishachoka siku zote kuwa wa chini
Wengine wanakula kipupwe maofisini

Mlosema haolewi olewei mbona kaolewa?
Mlosema hapewi hapewi mbona amepewa?
Mwaka huu ni wangu
Kutimiza ndoto zangu
Nasema mwaka huu ni wangu
Kwa baraka za Mungu wangu
Dear Lord

Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)
Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)

Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
Na wale walosema mi mgumba waje kumwona mwanangu
Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
Wanaokufuata wakati wa shjida ili wapate afueni

Niwaonyeshe walonidharau kwamba Mungu anaweza
Nami nipande dau niwasalimi kingereza

When God say YES nobody can say NO
(When God say YES nobody can say NO)
When God say YES nobody can say NO
(When God say YES nobody can say NO)

Mlosema haolewi olewei mbona kaolewa?
Mlosema hapewi hapewi mbona amepewa?
Mwaka huu ni wangu
Kutimiza ndoto zangu
Nasema mwaka huu ni wangu
Kwa baraka za Mungu wangu
Dear Lord

Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)
Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)

Also, check more tracks from Harmonize;

Leave a Comment