LYRICS

Chege Ft Vanessa Mdee – Manjegeka LYRICS

Chege Ft Vanessa Mdee – Manjegeka LYRICS

DOWNLOAD MP3

Chege Ft Vanessa Mdee – Manjegeka LYRICS

Vile naku nyamanzishaga
Pale napo kufikishaga
Cheka kwa dharaaaau
Sio kichumbageni ni za kichaga
Mazughaaa
Mazughaa
Kaballerossinioura
Usileteee

Na maneno yaka chonge bara bara
Eeeh eeeh eeee,
Kama tutakosa pesa tuta lala
Eeeeh eeeeeh eeee,
Sina gari tutapanda dala dala,
Baby ogopa vya watu ,
Kuna majini watu,
Skuizi wanaitwa manyaku ,
uuuh uuuh uuuh!
Asije ingia shetani kwenye penzi letuu,
Akaja kusambaratisha ule utamu weetu baby,
Funga milango na komeoo,
Chakwangu sio banda la videoo,
Wakikurubuni kaza moyoo, Ooooh oooooh.

Manjegeka
Manjegeka
Manjegeka usileteee
Manjegeka

Wanaona wivubwajiuwe,
Sumu inauzwa kanunue,
Maneno maneno wanitue,
Yapogo hata kwenye kanga,
Penzi tufunge na kaamba,
Kuwa pete niwe chaanda,
Inama nikisi kidogo tu,
Nilegeze naona usha kuwa dedee,
Naomba nishike my baby,
Vyote vyako usilete manjegeka,
Kuku mayai nitage,
Zama chini safisha piga deki Uuuuh dady ushindwe wee.

Vile nakunyamanzishaga,
Pale napokufikishaga,
Mpk kucha una ng’ataga,
Sio kichumbageni ni za kichagar,

Ukinigusaga,
Kinyumenyume naendaaga
Aaaaah we baba,
Midollar dollar naimwaga,
Aaaaaah aaaah,

Funga milango na komeoo,
Chakwangu sio banda la videoo,
Wakikurubuni kaza moyoo,
Oooooh ooooh.

Manjegeka
Manjegeka
Manjegeka usileteee
Manjegeka

Also check more tracks from Vanessa Mdee;

Leave a Comment