Alikiba – Mshumaa LYRICS
Ule ugonjwa ulioniacha nao,Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo,Yamebaki jina
Hospitali oooh,Za dunia nzima
Nimezunguka kote,Wamepima majibu hakuna
Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa)
Alioo iyooo…
Nakumiss…
Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena
Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh
Labda nikukumbushe,Nilipokuvisha pete
Ulisema machache,Hauniachi mpaka nife
Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza (ungeniacha hata na mshumaa)
Alioo iyooo…
Nakumiss… iye iye
Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena
Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh
Tiriri tirara tata
Tara tiriri tata
Ali oooh
Turururu
Also, check more tracks from Alikiba;