LYRICS

Mercy Linah – Nashukuru LYRICS

Mercy Linah – Nashukuru LYRICS

DOWNLOAD MP3

Mercy Linah – Nashukuru LYRICS

Verse 1
Umenipa uhai Baba
Nafasi nyingine ya siku mpya
Baba, nashukuru
Umeniponya roho na mwili
Tabibu wa ajabu ewe Yesu
Baba, nashukuru
Umeondoa laana Baba,
Kabadilisha kuwa baraka
Baba, nashukuru
Kilio changu ewe Yesu
Kabadilisha kuwa furaha
Baba, nashukuru

Chorus
Kwa moyo wangu wote
Nasema ahsante Kwako
Massiah nashukuru

Verse 2
Nilipo kuwa mnyonge Baba
Umekua nguvu yangu
Baba, nashukuru
Nayo mishale ya yule mwovu
Haijanipata Umenilinda
Baba, nashukuru
Umeniongoza Mwokozi wangu
Kanisimamisha imara
Baba, nashukuru
Umenitoa kwenye shimo la giza
kanileta kwenye mwanga
Baba, nashukuru

Bridge
Yale yote umetenda
Ni mengi mno na ya ajabu
Sijui mimi nisemeje?
Yale Yahweh Umenitendea
Ni mengi mno na ya ajabu
Sijui mimi nisemeje?
Sijui mimi nisemeje? eeh

Also, check more tracks from Evelyn Wanjiru;

Leave a Comment