LYRICS

Lody Music – Kubali LYRICS

Lody Music – Kubali LYRICS

DOWNLOAD MP3

Lody Music – Kubali LYRICS

Yeah! Unalewa nini?
Wakati mwenzako ameshakuacha
Yaani hakutaki tena

Unampigia nini?
Akiona namba yako tu anakata
Huyo sio wako tena

Hata usiwaze kulipiza kisasi
Kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi easy

Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi
Kwenye moyo wake huna nafasi easy

Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh

Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh

Unayempenda kampenda mwengine
Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye kapendwa na mwengine
Moyo sukuma damu sio mashine

Yanakuumiza na pengine
Hauna budi kumpenda mwengine
Mapenzi joto joto usipime
Moyo sukuma damu sio mashine

Penzi kiza kinene kiroho mbaya
Yanatesa tena vibaya
Ukitenda una retire ah!

Labda hufiki kina mapenzini
Ndo maana unaachwa matatani
Hufiki kina mapenzini (Mapenzi mapenzi)

Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh

Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh

(Lody Music on this one)

Also, check more tracks from Rayvanny;

Leave a Comment