LYRICS

Nandy – New Couple LYRICS

Nandy – New Couple LYRICS

GET AUDIO HERE

Nandy – New Couple LYRICS

Nilipenda kumwona Vanessa na Jux
Mara ghafla ikatokea nuksi
Sikuwaona tena wakatengana

Aah Aslay nilizoea kumwona na Tessy
Yakatokkea mazito sio mepesi
Wakatengana tenaa

Nilitegemea kumwona Harmo na Sarah
Wakiendelea, mambo yamebadilika
Namwona Kajala, ila nawaombea

Nilitegemea Kusah na Ruby
Wakiendelea, mambo yamebadilika
Namwona aunty Ezekiel, mtoto anamlea

Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple
Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple

Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple
Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple

Mlikua nice couple
Harusini ningekuja
Na zawadi ningetoa eeh!

Eti Queen Darlin
Wamuonea wivu wa nini?
Ukiwa mke wa pili jiamini mmmh!

Pety mpney na Esma
Mambomea Malisa(?)
Inamkela mzizwa

No no no no oo
Mlitegemea kuniona mimi na Nenga
Tukiendelea, mambo yamebadilika
Na simwoni tena, ila namwombea

Mlitegemea Fayma na Ray
Wakiendelea, mambo yamebadilika
Yaliyofwatia sisemi

Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple
Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple

Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple
Aah! Aah! New Couple
Kila siku inazuka new Couple

Also check more tracks from Nandy;

Leave a Comment