LYRICS

Killy – Roho LYRICS

Killy – Roho LYRICS

DOWNLOAD MP3

Killy – Roho LYRICS

Asubuh kumepambazuka wa ubavu sikuoni iih
Nshazoea tunaamka wawili
Majirani ntawatazamaje usoni
Naanza kusali naomba kwa rabuka
Hiki kipengele siponi
Mi si nitabaki kiwiliwili ina maana
Niliyofanya yote huyaoni
Kipi nimetenda kibaya au
Kukupenda nlifanya vibaya dah
Eti na nguo sizioni umefungasha
Virago vyote umefunga funga
Umeniacha kwa ubaya ila
Sina budi kukubali haya aah..!!
Yani niwe wa vichochoroni
(etii)

Anaepita mbele sindano niwe dunga dunga
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho

Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

Umeshazima koroboi ona kwa page
za udaku wameweka nukta nukta
Sina uzima sitoboi hunitaki katu
Na mchanga umeputa puta
Umeweka dhima niko hoi hutaki
Nithubutu umeweka tuta tuta
Yamezizima sichomoi kisu changu
Butu nyama inajivuta vuta
Umeondoka bila kusema
Sababu iliyokufanya uende
Ungeandika hata barua ningeisoma
Nitake ama nisipende
Hata kama umenichoka ya nyuma ungevuta taswira
(Taswira aaah)
Wakati mbali tumetoka imekuaje umeweza kuzira aaah
(Kuzira aaah)

Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah..!!
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho

Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

Leave a Comment