LYRICS

Rich Mavoko – Mapenzi LYRICS

Rich Mavoko - Mapenzi LYRICS

GET AUDIO HERE

Rich Mavoko – Mapenzi LYRICS

Bobo madeit

Hivi we ungewezaje kuishi bila unayempenda
Ama ingetokeaje yote dunia kukutenda
Wanavyojua mimi mapenzi ya mwisho matamu
Hasa ukishapenda, mwenzio akakuchenga

Zina utumwa hisia
Na mwili ukipata maradhi
Ukizinga kukimbiwa
Utabeba silaha jambazi

Kuna muda unaenjoy matamu
Kuna muda unalia machungu
Utayasifia matamu
Kesho huyataki tena, machungu

Kadata tatizo mapenzi
Kawamridhi kisa mapenzi
Kafilisika eti mapenzi
Wanagombana kisa mapenzi

Na data tatizo mapenzi
Kawamridhi kisa mapenzi
Kafilisika eti mapenzi
Wanagombana kisa mapenzi

Mchezo gani huo mwisho haukumbukwi wema
Hata utende mazuri bure, utamu ukiisha mjini shule
Sa itakuaje na itakuaje, ushakuwa teja na huwezi
Kidole ushapinga nae mpaka mapipi unaibiwa

Zina utumwa hisia
Na mwili ukipata maradhi
Ukizinga kukimbiwa
Utabeba silaha jambazi

Kuna muda unaenjoy matamu
Kuna muda unalia machungu
Utayasifia matamu
Kesho huyataki tena, machungu

Kadata tatizo mapenzi
Kawamridhi kisa mapenzi
Kafilisika eti mapenzi
Wanagombana kisa mapenzi

Kadata tatizo mapenzi
Kawamridhi kisa mapenzi
Kafilisika eti mapenzi
Wanagombana kisa mapenzi

Also check more tracks from Rich Mavoko;

Leave a Comment