LYRICS

Lava Lava – Komesha LYRICS

Lava Lava – Komesha LYRICS

GET AUDIO HERE

GET VIDEO HERE

Lava Lava – Komesha LYRICS

Ye ye ye yeah
Sitojifanya maproso
Nikaja kukudanganya
Ukakumbuka before
Ntakupenda mpaka useme poo
Kwako nitang’ang’ana I’ll never let you go
Mtegoni nimenasa ka tandabui kwa ukuta
Believe me I don’t lie (i don’t lie)
Nishaacha anasa nimeweka nukta
I’m ready to fly (I’m ready to fly with you baby)

Yeah mengi yatasemwa kwamba mimi ni player
Wanapenda tukigombana
Eti nakuchezea
Roho zawauma tumebaki kidedea
Twende tukiongozana
Wawili kama pair
Vunja kabati
Vunja kabati
Vaa pendeza nogesha tutoke
Baby vunja kabati oh
Komesha komesha (aristotee)
Fanya unajipinda pinda kata
Mugongo pinda pinda kata
Fanya unajipinda pinda kata
Mugongo pinda pinda kata

Ye ye ye yeah
Nshatafuta location twende vacation tujichimbie kiaina
Tupost makopa passion juice mango passion tukomeshe kina daina
You give me temptation mwendo wako motion
Kijungu ka brand china
Unapendeza bila fashion you’re my perfection
Wala huhitaji designer
Sa go down cheza jeje (jeje)
Nyonga legeza lege (jeje)
Kiuno nfinyie kwa tege (jeje)
Nchanganyie rojo kwa zege (jeje)

Yeah mengi yatasemwa kwamba mimi ni player
Wanapenda tukigombana
Eti nakuchezea
Roho zawauma tumebaki kidedea
Twende tukiongozana
Wawili kama pair
Vunja kabati
Vunja kabati
Vaa pendeza nogesha tutoke
Baby vunja kabati oh
Komesha komesha (aristotee)
Fanya unajipinda pinda kata
Mugongo pinda pinda kata
Fanya unajipinda pinda kata
Mugongo pinda pinda kata

Also check more tracks from Lava Lava;

Leave a Comment