Sakata la Harmonize, Kajala, Rayvanny na Paula sasa limefika patamu, baada ya kusindikizwa na hit songs mbili kutoka kwa Harmonize na Rayvanny sasa sakata hili linakamilishwa kwa video za utupu.
RELATED: Harmonize – Vibaya (Prod. Boy Beat)
Baada ya Rayvanny kuvujisha chats sasa wazee wa connection pande za Instagram wameamka na kuvujisha video hizo za utupu na aibu.
RELATED: Rayvanny – Nyamaza (Prod. Mocco)