SONGS

Wimbo mpya wa Roma na Lady JayDee – Diaspora

Wimbo mpya Roma na Lady JayDee - Diaspora Mp3 Downlaod

Star wa muziki wa kizazi kipya na mmoja wa wanakikundi cha Rostam, Roma Mkatoliki ameachia wimbo mpya kabisa uitwao Diaspora akiwa na mwanadada Lady JayDee.

Katika wimbo huu Roma Mkatoliki amefunguka mengi kuhusiana na Mahusiano yake na hali ya kimaisha kwa ujumla. Ni wazi kwambo Roma Mkatoliki amechia wimbo huu mpya Diaspora kwa ajiali ya mke wake.

RELATED: Rostam – Kaka Tuchati (Prod. Bin Laden)

Mke wa Roma Mkatoliki ni mjamzito na anakaribia kujifungua wakati mwenyewe akiwa yuko bali na nyumbani (Marekani) Ni kipindi kigumu kwao lakini tunawaombea mwenyezi Mungu awape wepesi zaidi.

Wimbo mpya Roma na Lady JayDee – Diaspora Mp3 Downlaod

DOWNLOAD HAPA

DOWNLOAD VIDEO HAPA

Leave a Comment