NYIMBO ZA DINI

Zoravo – Dua (Prod. Samuel Yonah)

DOWNLAOD MP3 Zoravo - Dua

It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Dua mp3 audio Download by Zoravo. Enjoy!

Nimemwomba MUNGU,wimbo huu Ukawe ni sababu ya Mtu mmoja kuelewa yaliyo mapenzi ya MUNGU kusudiwa katika maisha yake bila Kujali ni mara ngapi unapatwa na changamoto na unashindwa….

RELATED: Paul Clement Ft Zoravo – Wastahili

MUNGU wa mbinguni akalithibitishe pendo lake katika maisha yako,kwa maana kwake(Katika Uwepo wake) tunaishi,tunakwenda na tunakuwa na uhai wetu…Amen !!!!

Audio production: Samuel Yonah
Music arrangements: Samuel Yonah
Mixing & Mastering: Samuel Yonah
Graphics: SP brand
Female harmony: Bella Kombo

DOWNLAOD MP3 Zoravo – Dua

DOWNLOAD MP3

1 Comment

Leave a Comment