NEW AUDIO

Rapcha Ft Ronei – Tuko Fresh (Prod. Bongo Records)

DOWNLOAD MP3 Rapcha - Tuko Fresh Ft Ronei

Huu ni wimbo uliofanyika December 2018 ambao ni moja ya nyimbo za kwanza kabisa Rapcha kurecord na Majani.

Mwanzo haukupangiwa kutoka baada ya kurecord kazi nyingi zaidi. Story ya kurecord wimbo huu, Hii ilikua ni baada ya Majani kutoka safari na kurudi na vifaa vya video shooting.

RELATED: Rapcha – Kisanga Freestyle

Sasa basi siku hiyo tulikua pale studio na pamoja na Ronei tukarecord huu wimbo, Tulivyomaliza tu ku-record vocals Majani akawasha camera tukaanza kushoot pale pale studio.

DOWNLOAD MP3

DOWNLOAD MP3 Rapcha – Tuko Fresh Ft Ronei

Leave a Comment