E NEWS

Majina ya wanawake na sifa zao katika mapenzi

Majina ya wanawake na sifa zao katika mapenzi
Majina ya wanawake na sifa zao katika mapenzi

Katika pitapita na mihangaiko mingi tuliyonayo wanadamu huwa tunapata fursa ya kukutana na watu wa aina tofauti tofauti.

Pamoja na utofauti wa sura, umri, maumbo n.k ila kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mtu na jina. Mara nyingi majina hufanya tabia za watu zifanane.

RELATED: Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia. Zisome hapa

Utasikia huyu mtoto alipewa jina la marehemu Babu yake na amekuwa na tabia kama za Babu yake.

Ushauri wangu ni kwamba Tafadhali usisubutu kumwita mtoto wako jina “Umber” unless kama unataka awe mtu mwenye matukio ya ajabu ajabu katika jamii yake.

Ebu pitia-pitia majina na tabia zao alafu utuambie kuna ukweli kiasi gani hapo….!!!

Majina ya wanawake na sifa zake katika mapenzi

1:: Nancy – Muongo

2:: Julieth – Kicheche

3:: Mary – Anapenda waume wa kitambo kirefu

4: Caroline – Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza

5:: Hellen – Anabusara anapozugumza na mpenzi wake

6:: Rose – Anapenda wanaume wenye pesa

7:: Eunice – Hapendi ndugu wa mume wake

8:: Agness – Anaupendo wa dhati na akipenda amependa kweli

9:: Eveline – Hana vigezo vya mwanaume anaemtaka

10:: Catherine – Mbinafsi ktk mapenzi anajijali pekee kuliko mpenzi

RELATED: Sababu kuu 10 za uke kulegea na kuwa mkubwa

11:: Mariam – Anapenda kuwa kuwa rafiki na mpenz wake

12:: Loveness – Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu

13:: Monica – Anajivunia mpenzi wake popote

14:: Mellisa – Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hata kama amekereka

15:: Elizabeth – Hapendi kujihusisha na mahusiano

16:: Emy – mtaalamu wakutongozea marafiki zao

17:: Fabiola – Anapenda sifa za wanaume

18:: Theresia – Mvumilivu ktk mapenzi

19:: Eve – Hana mwanaume maalumu

20:: Hilda – Muumiza mioyo ya wanaume wengi

21:: Jackline – Ni mlipiza kisasi

22:: Lydia – Anapenda mtu ili apate kitu fulani

23:: Carol – Nimuongo kupitiliza na still anaaminika

24:: Josephine – Hataki mpenzi but anataka mume

25:: Grace – Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja ktk hao wengi

26:: Anna – Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa

27: ‘Beatrice – Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa

28:: Rehema – Anapenda waume za watu

29:: Brenda – Akipenda amependa kweli

30:: Frida – Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenz wake na anaangalia tu

31: ‘Ruth – Ni msaliti kwenye mahusiano

32:: Rachel – Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu

33:: Neema – Akiachwa mara moja anakata tamaa

34:: Aneth – Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake

RELATED: Ukipata mwanamke mwenye sifa hizi 16 usimwache

35:: Esther – Anaamini kuwa kwenye mahusiano yakimapenzi ni dhambi

36:: Violeth – Mkorofi

37::  Sylvia – Mkimya sana awapo na mpenzi wake

38:: Christine – Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake

39:: Julieth – Ana aibu sana kwenye mapenzi

40:: Magreth – Anapenda sana ila anaumizwa sana

Majina ya wanawake na sifa zao katika mapenzi
Spread the love

Leave a Comment