ENTERTAINMENT

Huu ndio mjengo wa hotel aliyonunua Diamond Platnumz (+Video)

Huu ndio muonekano wa Hotel aliyonunua Star wa Muziki Barani Afrika na Mkurugenzi wa Wasafi Media Diamond Platnumz.

Hotel hii ipo maeneo ya mikocheni Jijini Dar es salaam. Na kwa Mujibu wa Diamond Platnumz, kwasasa ipo chini ya maboresho zaidi kabla ya kuizindua rasmi.

Zari arusha dongo zito kwa Diamond kisa misaada ya Corona

“Nimenunua Hotel maeneo ya mikocheni, nimeshakabidhiwa documents zangu , ipo kwenye marekebisho kadhaa Kisha nitaitambulisha” – Diamond Platnumz

Pia ameikaribisha serekali na @wizarayaafya_tz , Kuitumia Kama Hospital ya dharura katika kipindi hiki Cha Janga la Corona – Alisema Diamond Platnumz, Leo katika interview yake na WasafiFm huko jijini Dar Es Salaam, Tanzania.

Huu ndio mjengo wa hotel aliyonunua Diamond Platnumz (+Video)

Leave a Comment