Kama umekuwa mfatiliaji mzuri wa mitandao kijamii basi hili la HAMIDA sio jipya kwako.
Kama haufahamu lolote kuhusiana na HAMIDA basi ngoja nikufahamishe.
HAMIDA ni binti wa kitanzania ambaye alichezwa unyagoni akachezeka ni mtaalamu wa mahaba. Lakini kwa sababu zisizojulikana HAMIDA aliamua kuamcha mpenzi wake.
Naam kwa mahaba ambayo HAMIDA alikwisha kumpa mpenzi wake, mpenzi wake hakuweza kuzuia hisia zake baada ya kuachwa aliamua kuvua nguo na kugalagala katika sakafu iliyojaa maji.
Huku akilia HAMIDA ameniacha. HAMIDA ameniacha, HAMIDA ameniacha. Video iko hapa chini unaweza kutazama.
It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Hamida umeniacha mp3 Download by Navy Kenzo. Enjoy!
Stamina Ft Atan – Asiwaze | mp3 Download
New audio: Stamina Ft Atan – Hamida umeniacha | mp3 Download