Home Uncategorized Muigizaji Seth Bosco (Kanumba) Amefariki Usiku wa Kuamkia leo.

Muigizaji Seth Bosco (Kanumba) Amefariki Usiku wa Kuamkia leo.

0

Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara,DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo,Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.