Matokeo ya mechi za Premier League leo/jana 28- 29/12/19 – Ligi kuu ya England
Mtanange unaendelea katika ya magwiji wa soka la ligi kuu ya England ‘EPL’ na kulikuwa na mechi zenye upinzani na ushindani mkubwa sana. Hapa tumekusogezea matokeo ya EPL leo 28/12/19 msimua wa 2019-2020.
Mechi za Leo zinaanza saa 9:30 jioni – Huku mechi ya mwisho kwa siku ya leo Burnley FC vs Man United ikichezwa saa 04:30 usiku.
Brighton vs Bournemouth 2 – 0
Southampton vs Crystal Palace 1 – 1
Newcastle vs Everton 1 – 2
Watford vs Aston Villa 3 – 0
Norwich City vs Tottenham 2 – 2
West Ham vs Leicester City 1 – 2
Burnley FC vs Man United 0 – 2
Mechi na matokeo ya leo 29/12/2019 ligi kuu England
Arsenal vs Chelsea 1 – 2
Liverpool vs Wolves
Man. City vs Sheff Utd
EPL – Matokeo ya Premier League leo 26/12/19 Man U, Chelsea, Arsenal, Liverpool n.k