Uncategorized

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018. Tazama hapa

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba.

Jumla ya watahiniwa  385, 767 walisailiwa kufanya mtihani kidato cha nne mwaka 2017, kati yao 287,713 sawa na asilimia 77.09 ndio wamefaulu ambapo wasichana ni  143,728 sawa na asilimia 75.21 na wavulana 143,985 sawa na asilimia 79.06.

Link 1 == Bofya hapa kutazama Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018. Tazama hapa

Link 2 == Bofya hapa kutazama Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018. Tazama hapa

Form four NECTA Results 2019/2020

Spread the love

Leave a Comment