Uncategorized

Shilole Free Style – Rostam Diss | mp4 Download

Shilole Free Style – Rostam Diss | mp4 Download

Baada ya Rostam kuachia wimbo wao mpya Kijiwe Nongwa wakiwa na Ney Wa Mitego, wimbo ambao umeaonyesha kuteka hisia za mashabaki wao huko East Africa na wengine kudhubutu kuita wimbo huo wimbo wa mwaka.

Lakini kuna utata katika baadhi ya mashaili ya wimbo huo na ukweli ni kwamba wimbo huo umejaa mafumbo mengi sana.

Katika wimbo huo kuna mashaili yanasema “Yule fundi gereji chawa, si kamteka bibie na wamefungua mgahawa yani wote mama ntilie” na inasemekana kwamba hapo wameongea kuhusu Mwanadada Shilole!!

Shilole ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Nikagonge Remix akiwa na Baddest 47, ameamua kuvunja ukimya na kuwajibu Rostam, Chech hapo chini.


Shilole awajibu Rostam kwa Freestyle na kuvujisha video wakila ukoko

Leave a Comment