Uncategorized

Picha na video za harusi ya Mc Pilipili pamoja na mke wake.

Kama wasemavyo wahenga hayawi hayawi sasa yamekua, Leo ndio ile big day yani siku nyingine kubwa kwa Mchekeshaji wa Tanzania MC Pilipili na Philomena ambao wamefunga ndoa leo mchana na sherehe ndio hii iko live inafanyika Mbezi Beach Dar es salaam, bonyeza play hapa chini kutazama.

Leave a Comment