Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi na kubainisha kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 4.96.
Ufaulu mwaka 2017 ulikuwa asilimia 72.76 na 2018 ni asilimia 77.72.