SMS 1000 za kubembeza, mapenzi na mahaba

SMS 1000 za kubembeza, mapenzi na mahaba

Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.ย 

Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!

RELATED: SMS 18 nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima

ย Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu nafsi, nakupenda sweetie.

Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!

Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.

Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe . ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ* ย  ย  ย 

Maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha. ย  Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข ย 

Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Rรถhรถ hรฅinรฅ furaha sababรผย  ya รผkimyรค wรฅkรถ,nรคfsi hรฅinรฅ raha kรผkรถsรค sรฅuti yako,mรถyรถni nรคsonรถnekรค kรผkรถsรค salam yรคkรถ,hรฅkikรฅ nitรคfรผrรคhikรค kuijuรค hรคli yรฅko “รผmzima”?. โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.

Kanuni za kudumisha “PENZI” Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana. โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ..

Mapito ni mengi, ktk maisha… Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa, lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na wewe.UCIKU MWEMA

ย ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako.

MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako.

Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny. ………………….. ย 

Mpita njia kashkwa na kiu kaenda kuomba maji jiran,dogo akampa maziwa jamaa akanywa akasema kiu bado,dogo akampa tena glasi ya maziwa,jamaa akauliza mna maziwa mengi? Dogo akamjibu si hatuyataki kwani jana panya alidumbukia, jamaa kusikia hivyo akashtuka akaangusha glasi,basi dogo akaita mamaa mgeni kavunja ile glasi ya bibi ya kutemea mate!!! Jamaa akazimia…aa!! ……………………. ย 

Ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili yasingekauka.nakupenda hny ……………………… ย 

Pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini. ……………………. ย 

Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.? Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua? ……………………

RELATED: Sms 10 za mapenzi tamu kabisa kwa wapendanao

Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda?? ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!! ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby! ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz! ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia? ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana, sasa nafsi yangu ishasema hapana, namuomba Maulana akujalie kheri na afya njema daima, kumbuka nilikupenda sana. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Hakika najutia nafsi yangu kukupatia mwanaume kiruka njia kila mwanamke wewe akuvutia, nguo shuruti wataka akuvuliye, katu penzi sitakaa nikupatiye. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi hila, kitu kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia! โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Najua ni kweli wanipenda,hata mimi nakupenda laaziz wangu,ila pendo lako litajidhihirisha zaidi kangu ukizidisha uaminifu.nakupenda mpenzi ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu! โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข ย 

Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi. โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข

Wangu hayuni mwenye upendo wa dhati,hakika nakupenda,mwengine sitamani,hamin mpenz kwa zangu hiz tenzi..! ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua …………..

Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si rafiki ni ndugu nnaekujali ………

Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu …….

Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona ………

Ndege tausi alimuuliza kasuku “hivi kuna viumbe wazuri kuliko sisi duniani?”kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii ………..

Kuna miezi 12 katika mwakaโ€ฆsiku 30 katika mweziโ€ฆsiku 7 katika wiki, masaa 24 katika sikuโ€ฆdakika 60 katika saaโ€ฆโ€ฆ lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu! ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe. ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji? ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Unaonekana kungโ€™ara leo nilijuajeโ€ฆโ€ฆ.ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe. ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo. ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji. ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*

Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ* ย 

SMS 1000 za kubembeza, mapenzi na mahaba
Ni yangu mazoea kila cku cm yako
ย kuipokea kama si meseji
kunitumia
leo naumia kila napo fikiria nini
ย kimetokea hadi
mawasiliano yetu
yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali
ย ya kawida itarejea
na
majonzi moyoni yatanipotea
ย  ย  ย  ย  ย nakupenda mpz
ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
ย nikiyaangaza
kumsaka mrembo
ย wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
ย  ย  ย  nakupenda laaziz
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Raha ya ucngz ni ucngz . .ย  . .”tamu”ya penzi ni ndoto .
Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi
nikiwa mimi,
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijute
nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.
ย Nakupenda mpz
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda
mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta
amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambie
nampenda sanaaaa
ย  ย  ย  ย  Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati
,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi
kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.
ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?
ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo
mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa
maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
ย 
ย 
kiangazi aumasika
ย kukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako
ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila
ย 
kujali.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni
zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani
unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako
limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako
haliwezi futika.
ย  ย NAKUPENDA
ย 
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo
wangu
ย mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo
ย lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi
ย nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo
daima milele.
ย  ย  ย  ย nakupenda mpz
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu
kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo mileleย  kwa
kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na
mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat
na mapenz mazito zito,
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman
kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila
mwili wangu upo kwa ajili yako dear
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe
huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno
hayapo kwake,
nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo
tayar kumsaliti na lbd aanze yeye
ย 
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
ย  ย  ย nakupenda mpz
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale
unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu
wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia
na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo
,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza
furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
,,,,,,,,,,,,,
ย  |~<ยค>~|
ย  “””””””'”””
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.
Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa
kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,
nimeambiwa ili
nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha
ย 
yk,ย  ย  ย (3)upendo wk,ย  ย  (3)tabasam yk.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,
naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha
kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako
hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
ย 
ย 
ย 
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac
hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na
unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.
Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazdย  kuchanganyikiwa kwa
ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.
Nakupenda kipenz cha moyo wangu.
ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengi
watakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapo
ambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako
,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakini
ย hawajapata wa kuwaowa
ย  ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
ย /”””””””””/!
ย  ย  /ย  ย  %ยคย  ย / !
ย  ย !”””””””””! !
ย  ย !………!/
ย 
ย Ndani ya box hili kuna silaha tatu za maisha ambazo ni
Aman, Upendo na Furaha, zawadi maalumu kwa watu muhimu
ย 
kama wewe.”
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti
usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni
mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani
na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu
ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย 
upendo sio tigo eti ongea kwa nusu shilingi wala sio voda
kazi ni kwako, pia sio airtel jisikie huru bali upendo ni
zawadi pekee sana mungu aliyoiweka ndani ya mioyo
yetu.hili ni la kuzingatia dear nakupenda sana
ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye
kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende
wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la
akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.ย  ย  ย 
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
ย  ย  ย  ย โ—ยดยฏ`ยดยฏ`โ—โ™ฅยกยกโ™ฅโ—ยดยฏ`ยดยฏ`โ—โ™ฅ
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa
penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi
kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye
kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye
mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani
ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini
hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda
Mpenzi
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย 
ย 
ย 
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,
usizidishe siki akawa mkali.
Ni
mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Kama upendo ni tone la mvua nakutumia
ย  ย !!!!!
ย  ย !!!!!
ย  ย !!!!!
Kama furaha ni ua nakutumia maua
ย  ย 
ย 
ย *%*%*
ย  ย  ย  ย  ย )!(
ย  ย  ย  ย  (ย  ย )
kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa
ย  . ’12’ .
9ย  ย _/ย  ย 3
ย  ย ‘
.6. ‘
kama maombi ni maji nakutumia bahari
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
kama mafanikio ni majani
nakutumia miti
ย ,:*”*;,ย  ย  ,:*”*;,
*;% ,,*ย  *; %,,*
__)(__ย  ย __)(__
kwasababu nataka uwe na furaha
cku zote
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย 
ย 
ย .:””””_____.-.-._
( 0ย  ย  .———–‘
ย  ‘—‘
Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 &
kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe
…………………………
ย 
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka
kuna akupendaye naye ni MIMI!.
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย 
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia usiku mwema
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
“NAKUPENDA MALAIKA WANGU”
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO”
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala
sina wazo la kukutenda, nakuomba
tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
ย  ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa
upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema
mpenz
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo
ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla
hjalala.g9t
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
pendo la dhati lina sifa
zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauliย  Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
ย 
Nakupenda Mpzย  ย  ย 
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda
ย 
Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuru
umegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu
ndani ya wigo wa mtima wako.
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendi
nikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng
machoni.
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,sababu we ndo
ย 
wangu kipenZ,na sina mwengine lahazz.
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mapenz yk hasari kwa mwengine sitamani,umeniteka
akiri,mpaka najihisi punguani,nakupenda sana mpenzi!!
ย  ย  ย  ย *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Ewee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,hakika
n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!
ย  ย  ย  ย  *ยฐยท.ยธยธ.ยฐย  โ™ฅย  ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย 
ย Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo
nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria,
nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda
ย 
dear
………
Penzi langu maarufu nakupa unienzie, Tena ni
penzi nadhifu hilo lazima ujue, Wala si penzi
la khofu wasiwasi likutie, Ni penzi la insaaf
nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako
nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwako
natafuta, kama kupenda bahati mwenzako
naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab
Na wala sitampa mwengine anayefanana na wewe
………………………………….
ย  UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
ย UPENDO si wimbo ningekuimbia,
UPENDO si vazi ningekushonea,
ย UPENDOย  si picha yangu
ย ningekutumia bali
ย UPENDO ni thamani iliyoko
ย moyoni mwangu.
ย nakupenda na nakutakia
usku mwema.
…………………..
ย  ย salaam ni
1,nuru humfariji aliye na huzuni
ย  2 ni jahazi huvusha aliye ng’amboย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย 
ย  ย  ย 3,pia ni nuru huangaza gizani,
ย wewe ni lulu yangu nakupenda xana,
………………….
ย  “Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
ย “jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
…………………………..
ย  ย Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
ย STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
ย SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua,
ย ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2,
ย nafurah kwa kuwaย  naongea nae SIMULTANEOUSLY,
ย ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua
kuwa nampendaย  yaan nahic kama niko
ย kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza
ย lakin is very long MATRIX .
Nafikir
ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON
ย namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea
………………………….
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,
sababu we ndo wangu kipenZ,
na sina mwengine lahazz.
…………………………
wee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,
hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!
………………………
Nashndwa kulala haja ya moyo wng
naijua machoz hayansh homa ya mapenzi naugua
……………………………..
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako,
ย utawaliwe na
ย 
usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
ย naomba
ย 
ujenge taswira yangu katika mawazo yako,
ย Usisahau kuniota
sweet wangu. USIKU MWEMA
………………….
Asali wa moyo wangu,
ย fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
ย mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,
ย jua linaweza kusimama,
ย 
lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.
*ยฐยท.ยธยธ.ยฐ ? ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu
ย 
nakusubiri daktari wangu.
*ยฐยท.ยธยธ.ยฐ ? ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
ย Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ย ndugu zako wanaotugombanisha
ย 
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
ย Mapenzi yetu yadumu daima.
*ยฐยท.ยธยธ.ยฐ ? ยฐยท.ยธยธ.ยฐ*
ย “Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
ย  Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
ย SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwaย  naongea
ย nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
ย atajua kuwa nampendaย  yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikirย  ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
ย Chezea
…………………………..
ย  ย Katu si kila rafiki ni msafi
ย wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
ย kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
ย Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
ย anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
ย 
ย 
ย 
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
ย  ย  ย  ย  ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
nimeamua kwenda kwani sihitaji kukutenda,penzi la
dhati nilikupa lakini hukutambua kuwa nakupenda
ย  nakutakia maisha mema na utakaye mpenda
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Ama kweli!vizuri havikosi kasoro ,mapenzi yetu kutwa
hayaishi migogoro,hivi sasa giza limetanda totoro
ย sijui lini tutamaliza hii migogoro?
ย  ย  ย  ย  โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
ย Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Kila siku mimi ni mtu wa kulia, ipo siku uvumilivu utaniishia, hivi ni kwa nini hutaki kutulia na kila kitu nimekupatia, wewe wehuka na hao wanaokupapatikia, lakini utaja jutia siku ikiwadia.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย 
ยท
Leo tukiwa katikati ya mwezi wa kumalizia nusu ya kwanza ya mwaka 2013, nachukua fursaย  hii kuwatakia MAFANIKIO BORA ya MAISHA wale wote wanaonipa ushirikiano mzuri katika maisha yangu..
Kila niliposoma smsย  zako zenye nasaha nyingiย  niligundua mambo makubwa matano.
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUTHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. “asante sana”
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย  moyo wangu saafi kama upole wa tausiย  wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย  Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
nashindwa kudanganya moyoni ulivyonijaa
faraja na furahaย  uliyonipa
moyoni umeshaniingia kwa tabasamu unalonipa
moyo wangu wakuridhia.
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie namkumbuka japo kuwa simuoni
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
ย anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
ย Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri
ย na mali si chochote maishani,
Upendo na
kunijali ni faraja yangu moyoni,
Hata kama
ย upo mbali bado nakuthamini, Salam ni amani
ย kwa yule aijuae,
Salamu ni sunna kwa yule
ย aitoae,
Salamu ni thawabu kwa yule aitikiae
,
Na mimi nasema “Asalam Alykum”
ย โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข*โ€ขยท.ยทยฐยฏ`ยท.ยทโ€ข
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.ย  ย (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.
…………….
Ee’ kidole changu (jinalo index ka’skosei). . . Ni lini utavaa pete kuthibitisha ushakwalifai leseni ya kuishi na Binti Beyo nimpendae kwa dhati tokea kilindini?
……………….
ย “%%%,,”Nina”,,%%%,,”busu”%%%,,”tam”%%%,,”kwa”%%%,,” ajili”%%%,,”yako”%%%,,”haya”%%%,,”% %%”,,”fumba”%%%,,”macho”%%%”,,”bac”%%%,,”nikubusu”%%” 1__2__3aah” umevunja”%%%,,”,,”masharti”%%%,,”,,”bado”%%%,,”,,”,,”,”unasoma”%%%,,”,, “sms”%%%,,”%%%,,” nimeairisha”%%%,,”siku”%%%,,”busu”,,”tena”%%%,,”%%%,,”labda”%%%,,”%%%,,”kesho”%%%,,”I “LOVE,,”,,”YOU”
………………………
.*””* . *””*.
* “”I-“”L-“”O
ย “*.””V””E”*
ย  ย  ย  “*.U*” Hii ni mizani ya mapenzi, wengine hutoa mali au zawadi, mimi natowa moyo wangu kwako.Je ww unatoa nini ?
………………………
Kwenye ubongoย  nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonaeย  nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,everyย  “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………….
ย 
ย  Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
……………………….
Nimepanda gari la “KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni)ย  Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS” (100%)ย  Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,,ย  Nimetundikiwa dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE” zaidi yako!!(…..)
………………………
ย napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
…………………
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
……………………..
ย 
ย 
ย Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
………………………..
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU”
……………….
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. “NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU”
ย 
…………..
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
…………………….
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
………………
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
………………….
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
…………………
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
……………….
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
…………………..
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
……………..
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.
………………………………………………………………
ย  ย  STORY NZURI
ย  ย  ย  YA UPENDO
ย 
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.ย  Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu janaย  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendayeย  ili aone ni kiac gani
…………………..
ย Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
……………………..
ย Kwenye ubongoย  nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonaeย  nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,everyย  “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………
ย Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU
1/ RADHI ZAKE,
2/ HAIBA KWA WATU
3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,
……………………..
ย Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli ‘QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
……………………..
ย “%%%,,”Nina”,,%%%,,”busu”%%%,,”tam”%%%,,”kwa”%%%,,” ajili”%%%,,”yako”%%%,,”haya”%%%,,”% %%”,,”fumba”%%%,,”macho”%%%”,,”bac”%%%,,”nikubusu”%%” 1__2__3aah” umevunja”%%%,,”,,”masharti”%%%,,”,,”bado”%%%,,”,,”,,”,”unasoma”%%%,,”,, “sms”%%%,,”%%%,,” nimeairisha”%%%,,”siku”%%%,,”busu”,,”tena”%%%,,”%%%,,”labda”%%%,,”%%%,,”kesho”%%%,,”I “LOVE,,”,,”YOU”
……………………
ย Nimepanda gari la “KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni)ย  Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS” (100%)ย  Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,,ย  Nimetundikiwa dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE” zaidi yako!
…………………….
ย Neno “ASUBUHI NJEMA” ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
“ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
……………………
ย  AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
…………………..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako. MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny.
……………………
chozi langu adimu ila wewe waeza litoa,kilio changu cha msimu ila ww waeza niliza,nakupenda xana
…………………..
ย chozi ni kimiminika chenye ladha,hutoka kwa sababu fulani au kuajili ya mtu fulani,kwangu mie chozi langu la tiririka bila sababu kila ninapo kuona,nashindwa kuelewa kwanini ?wakati najua chozi halitoki bila sababu,baada ya kutafakari kwa mda niligundua pendo la dhati nililo nalo kuajili yako ndilo hunifanya niwe katika hali hiyo.
……………………
***Pasipo na SALAMU hapana UPENDO***.
ย 
***Pasipo na UPENDO hapana AMANI***.
ย 
***Pasipo na AMANI hapana IMANI***.
ย 
***na bila ya IMANI huingii PEPONI***
ย 
Kama unayasadiki maneno haya mpe SALAMU yule unaye mpenda na unayemjali.
ย 
Mimi ninakupenda na ninakujali ndio maana ninakusalim
na kukutakia asbh njema
……………
ย => Wahenga walisema;
” Salamu ni Nusu ya kuonana “
=> Wenye Hekma wamesema;
” Raha ya Salamu ni Kusalimiana “
=> Waungwana nao wamesema;
” Ukipata Salamu, kamata Kalamu “
=> Hao wote waliona Umuhimu wa Salamu, na ndio maana wakavumbua Misemo mbali mbali kwa ajili ya kuzidisha :-
=> URAFIKI,
=> UNDUGU, baina ya watu wanaosalimiana.
=> Nami kwa kulijua hilo, nafanya Hima kukusalimia ndugu yangu kwa kusema
:UHALI GANI?
………………….
ย Naliaย  ukiwa “MBALI” nachukia nisipo “KUONA” najuta ninapo “KUUDHI” naumia unapo”NITENGA” nateseka ukiwa “KIMYA” ninafurahi “UKINIKUMBUKA.ย  UCKU MWEMAย  Hny.
…………………..
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
ย 
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!
ย 
Na pia ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
…………………….
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
……………………..
ย 
ย Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri na mali si chochote maishani,
Upendo na kunijali ni faraja ya moyoni,
Hata kama upo mbali bado nakuthamini, Sa(…..)
……………………..
ย  “UPENDO”
haupandwi ardhini,ย  ย  ย  “UPENDO”
hauoti baharini,
“UPENDO”
haununuliwi dukani,
“UPENDO”
hauna ushauri,
“UPENDO”
haufundishwi darasani,
bali”UPENDO”hutoka ktk moyo wa mtu.
Na ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo toka kwa”MUNGU”.ย  na kudhihirisha hilo Napenda Kuktakia USKU MWMA.
……………………..
ย 
ย 
ย ILOVE Y0U ””””””””””””””””””””
I NEED Y0U
%%%%%%%%%
I MISS Y0U
=============
I’M HAPPY 2 U
***************
Najua moyo wangu umekuchagua ww na kuku2mia zawadi hii ili uelewe kwamba nakupenda sana, nakujali zaid, nakuthamini kuliko, nakutakia kila la kheri pamoja na dua njema,Ucku mwema hny.
………………………..
Urafiki”ย  “ni”ย  “mzuri”ย  “urafiki”ย  “ni”ย  “raha”ย  “ikiwa”ย  “mtapendana”ย  “urafiki” “ni”ย  “furaha” “kama” “mtasikilizana”ย  “urafiki” “ni”ย  “mtamu” “kama” “mtasaidiana” “urafiki” “ni”ย  “mwema”ย  “kama” “Mtakumbukana” “urafiki” ni hadhina ya maisha” urafiki unazidi undugu kama mtaudumisha” “hakika” “rafiki” “mwema” “ni”ย  “wewe” “mwengine” “sijamuona” “ishaallah” “tumuombe” “M/mungu” “atujaalie” “tuzidi” “kukumbukana” na” Kupendana” “I miss”you” my friend
…………………………..
ย 
STORY NZURI
ย  ย  ย  YA UPENDO
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.ย  Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu janaย  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendayeย  ili aone ni kiac gani
.
…………………….
ย 
ย kipi unataka kutoka kwangu Mwez huu wa july hii?
1=Moyo wangu
ย 
2=Tabasamu langu
ย 
3=Penzi langu
ย 
4=Hadithi
ย 
5=Urafiki
ย 
6=Muungano na mimi
ย 
7=Msamaha
ย 
8=Mahusiao
ย 
9=Tuchat sana
ย 
10=Muda wangu
ย 
11=Kwenda kuburudika na mimi sehem
ย 
12=Kuja kulala kwetu
ย 
13=Kuyashirikisha maisha na mimi.
ย 
14=Ushaur
ย 
15=Kukuchum.
ย 
Watumie sms hii rafiki zako woote ,uone nn wanataka uwafanyie,Lakini nijibu mm kwanza tafadhal…
……………………
ย 
ย Tukiwa tupo mwezi wa 9 robo 3 ya mwaka 2013 nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutumia muda wako mwingi na fedha zako ili kuwasiliana nami. Kila niliposoma sms zako zenye nasaha,mzaha,kuelimisha n.k. niligundua mambo makubwa matano
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUNITHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sn kwangu,sikuhisi UPWEKE wa kukosa rafiki katika huu uso wa DUNIA,nakuomba unisameheย  nilipokosea na ninakuombea Kwa MUNGU akupe MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO.
ย 
………………….
WEWE NI MFANO WA TUNDA GANI KATI YA HAYA?
1.EMBE-Furaha ya ndoa.
2.CHUNGWA-Mpweke lakin unatafuta.
3.LIMAU-Unampenda mtu lakin unaogopa kumwambia.
4.SHOKISHOKI-Upo ktk mahusiano ama ndoa lakin unaye mwengine ambaye unampenda.
5.PEASI-Bado unampenda mtu wako wa zaman.
6.PARACHICHI-Upo ktk mahusiano na m2 asiyekufaa na hujui ni kwann unaendelea naye.ย  ย  ย  ย  ย  ย 7.ZABIBU-Mpweke lakin ni mwenye furaha
8.NANASI-Huna habari na mapenz 9.TANGO-Upo ktk mahusiano lakin hujui kitakachotokea baadae.
10.PERA-Unampenda m2 ambaye naye anampenda m2 mwengine
11.PENSHENI-Umechanganyikiwa…*Nijibu tafadhari ila Kuwa mkweli*
ย 
ย 
…………………..
“MAISHA” ni ugomvi unapoyatafuta tayari umeingia bifu na walimwengu
ย 
ย 
“MAISHA” ni vita kali sana inahitaji maandalizi na zifuatazo ni silaha 9 Muhimu lazima uwenazo:-
ย 
ย 
1. Jiamini na uwe na nia yaย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  unachokitafuta.
ย 
2. Uvumilivu kwa litakalokukuta.
ย 
3. Kuwa muaminifu kwa kila mtu.
ย 
4. Usikate tamaa iwapoย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  haujafanikiwa.
ย 
5. Kuwa na malengo ktk kipato chako.
ย 
6. Jenga upendo kwa kila mtu.
ย 
ย 
7. Chunguza utakalo ambiwa kabla hujachukua hatua.
ย 
8. Epuka marafiki wanaopendaย  ย  ย  ย starehe.
ย 
9. Jua kuna faida na hasara!
ย 
NAKUTAKIA MSIMAMO MWEMA.
ย 
ย  “nakutakia cku njema”ย 
……………………………
ย 
ย  Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!*****
…………………
…………………
Neno gani? linaumiza zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati kati ya haya:- 1.Tuachane.
2.Sikutaki tena. 3.Nimepata mwngne.
4.Mbona king’ang’anizi wewe. 5.Sikupendi.
6.Wazazi wangu hawakutaki.
7.Siwezi kua na wewe.
8.Kama nilikosea njia tu.ย  ย  ย  ย 9.Huna mvuto. 10.Najuta kuwa na ww.
naomba jibu
โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.
UKITAKA KUWA NA FURAHA KILA SIKU..fanya hivi…amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yako..na si binadamu….mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini hajui atendalo…ishi kwa uhalisia wako na usรฌige maisha au mtindo wa maisha ya mtu…tii haja za moyo wako si maneno ya watu..ridhika na ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa na kuna siku utapata zaidi…Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi yako….wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta mafanikio…amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa. Asubui.njema
โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ
ย 
โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ”KILIO’ ‘HUZUNI’ SIMANZI” na “MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU tkwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye Cm YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi%
ย