NYIMBO ZA DINI

Karibu kwenye sehemu ya Nyimbo za Dini, mahali pa kupakua na kusikiliza nyimbo mpya za Injili kutoka Tanzania, Afrika na duniani kote.

Hapa utapata nyimbo bora za kuabudu na kusifu, zenye ujumbe wa faraja, tumaini, uponyaji wa roho, na kuimarisha imani. Tunakuletea nyimbo za SDA, kwaya, gospel ya kisasa, sebene gospel, Naija gospel, pamoja na nyimbo za Injili za kimataifa.

Nyimbo za Dini ni zaidi ya burudani; ni baraka na nguvu ya kiroho kila siku.