Barnaba – Cheketua LYRICS Ft. Alikiba
Nikupe habari, tangu nirudi safari
Nikakupata kimwali, tumeshinda dhohari
Nitazungumza naye bibi na babu wataridhia
Siku ya ndoa shere wigi
Mie kanzu na jambia
Tumeshinda vizingiti wambea hatutishi
Maneno yenu uchafu
Yeye shabuni mie jiki
Mtasubiri mazishi, sisi bado tunaishi
Utamu wa wali nazi
Kungu ule na parachichi
Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)
Ayii mama uyoo (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijari (Cheketua)
(Alikiba)
Nikupe ee nikupee midola
Arusha na Manyara ama nikupe dawa
Nikupe farahi, Nikupe dinari
Nikupe mahali, samaki waishi mbalii
Roho ziliowapinga waambie ugoniree,
Ndanga mkyasi wangu woyi, woyi, woyii
Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi
Utamu wa wali nazi, utafune na ndizi
Nahisi mamaa asali yangu
Aje mama mkwe (Cheketua) akupe na zawadi
Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)
Ayii mama uyoo (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijari (Cheketua)
Ayii mama (peke peke)
ayii waachi waongee (peke peke)
(peke peke)
Ayii mama
Tumetoka far a way (Tumetoka far a way)
Tausi ndege wangu (Cheketua)
Ndege wangu wa dhamani (Cheketua)
Ndege ulioshika mali (Cheketua)
Na vitu vyangu vya dhamani (mmh Cheketua)
Mie Adam yeye ndio Hawa (Cheke cheke Cheketua)
(Cheke cheke Cheketua)
Also check more tracks from Alikiba;