ENTERTAINMENT

SMS za mapenzi – Sms 10 kali za mapenzi

1. Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.

RELATED: Lava Lava Ft Mbosso – Ananiringia (Prod. Lizer)

2. Nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwa dhati, nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako, siwezi kuchezea nafasi hiyo mpenzi, nitakushika daima.

3. Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.

4. Njoo pendo langu nikutembeze katika milango ya furaha, Nikuwakilishe mbele ya majamaa zangu Nikuonjeshe asali ya pendo langu

5. Upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… Upendo ni lugha, Kwamba kila mmoja anaongea, Upendo hauwezi kununuliwa, na icyo kadirika na ya bure, Upendo kama uchawi safi, ni siri ya maisha matamu. Nakupenda mpenzi.

6. Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaidi ya mboni yangu, najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpenzi wangu, unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu. Nakupenda dia

7. Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, na huyo ni mimi mara zote nakujali.

8. Hakika kama ni mume MUNGU kanipatia, kuwa nawe najiona kama malkia. Nakupenda mpenzi na daima nitaenzi penzi lako.

9. Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.

10. Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. Nakupenda mrembo wangu. 

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

2 Comments

Leave a Comment