Wednesday, December 4, 2019

SMS ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako


Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha
hamu, nitakupa mwili wangu ukeshe nao, nitakulisha
unachokitaka, sitakubania naogopa wengine wataniibia.....
Njo leo uniambie unataka nini?