NYIMBO ZA DINI

Martha Mwaipaja – Maumivu ya jaribu

DOWNLOAD MP3 Martha Mwaipaja - Maumivu ya jaribu

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.

Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.

RELATED: Sarah K – Mnyunyizi Wangu

Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.

It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Maumivu ya jaribu mp3 audio Download by Martha Mwaipaja. Enjoy!

DOWNLOAD MP3 Martha Mwaipaja – Maumivu ya jaribu

DOWNLOAD MP3

Leave a Comment