Uncategorized

Jinsi ya kupika tamu sana kwa njia rahisi – Farwat’s Kitchen (+Video)

VINAVYOHITAJIKA

 • Nyama nusu
 • Mchele nusu na robo
 • Vitunguu maji viwili
 • Carrot moja kubwa
 • Dania moja
 • Pilipili boga moja
 • Kitunguu thomu kilichopondwa 1&1/2 tbspn
 • Tomato 4-5
 • Viazi 10-12
 • Pilipili manga 1tbspn
 • Mdalasini 1tbspn
 • Bizari nyembamba(njira) 1tbspn
 • Mafuta ya uto kiasi
 • Chumvi kiasiHii pilau unaweza kula na pilipili ya kukaanga na link ya hiyo pilipili ndio Kama ifuatavyo


https://youtu.be/biuD4Iv9pO4Instagram https://www.instagram.com/farwats_kitchen/Jinsi ya kupika tamu sana kwa njia rahisi – Farwat’s Kitchen (+Video)

Leave a Comment